Saturday, December 17, 2011

BAADA YA TIMBWIRI ZITO LA MALAVIDAVI,DIAMOND AIBUKA NA SONG JIPYA "NIMPENDE NANI?AANIKA WAZI KIPENZI CHAKE


Jina la wimbo huu mpya kutoka kwa Diamond linaweza kukushtua kidogo hususani kama wewe ni mfuatiliaji wa habari za kwenye luninga,magazetini na bila shaka kwenye blogs na social networks zingine ambako mengi hujiri siku hizi! Ila kama hufuatilii basi ntakupa kiduchu…Diamond ni mpenzi wa Wema Sepetu.

At least hivyo ndivyo inavyojulikana miongoni mwa wengi kupitia “live” screens za magazetini nk.Sasa wiki hii kumekuwepo na dodoso lukuki kwamba Diamond hayupo tena na Wema na kahamishia mahaba yake kwa Jokate Mwegelo,mlimbwende,mshehereshaji na pia fashion designer.Aliyetoa “siri” ni Wema Sepetu mwenyewe kupitia kipindi cha Zamaradi cha Take One pale Clouds TV.

Wakati yote hayo yanajiri,wimbo mpya wa Diamond unaingia sokoni.Unaitwa NIMPENDE NANI?Ni kutoka katika album aliyoiingiza sokoni hivi karibuni inayokwenda kwa jina Lala Salama. A coincidence? Kali zaidi ni maneno yaliyopo katika wimbo huu.In case unajiuliza ulitungwa lini,ninachoweza kukwambia ni kwamba ulitungwa muda mrefu.Sasa iweje uwe kama vile unaendana na matukio ya sasa,go figure out! Usikilize kwa makini hapa :


Kindly Bookmark this Post using your favorite Bookmarking service:
Technorati Digg This Stumble Stumble Facebook Twitter
YOUR ADSENSE CODE GOES HERE

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Labels

 

Pages

Popular Posts

BBC Xclusives

| BongoXclusive © 2009. All Rights Reserved | Sponsored by: Website Templates | Premium Wordpress Themes | consumer products. Thanks to blogger template
Template Style by My Blogger Tricks .com | Back To Top |