Ni Baada ya kimya cha mda mrefu lakini sasa kaamua kufunguka na kuachia ngoma mpya iitwayo Spend A Mill inaonekana kama aina flani hivi mwanadada Lil Kim anataka mchizi ambae ataweza kufunguka wallet yake na kumgharamikia katika masuala mazima ya misosi na mapenzi.hebu cheki na hiyo umsikie jinsi kim anavyo funguka humo ndani yaani ni mpango mzima.




0 comments:
Post a Comment