Showing posts with label tungwahuru.. Show all posts
Showing posts with label tungwahuru.. Show all posts

Tuesday, October 18, 2011

Terrace Martin – Locke High 2 Intro

0 comments

“Locke High 2″ itatoka rasimi October 25 kwenye iTunes.
Hii ya sasa nakupa intro tu upate kumjua Terrace Martin ni nani lakini kwa undani zaidi subiria october 25.

Jadakiss & Styles P – Runnin Thru The Jungle.

0 comments


Jadakiss na Styles P wakiwa wamerudi tena na freestyle 'Runnin Thru The Jungle' huku Jay na Kanye’s wakiwa wanakaribishwa kwenye Jungle.

Murda Mook Ft Fred Da Godson, Starsky, T-Rex, Bully, Cory Gunz & Dutch Brown – Hard Music

0 comments


mixtape mpya ijulikanayo kama “401K” ikiwa chini ya DJ Khaled sasa inapatikana hewani pata nakara yako sasa.

DJ Khaled Gives Russell Simmons An Update On Rick Ross

0 comments

Russell Simmons na Global Grind warifika kwa DJ Khaled ili waweze kujua Rick Ross’ anaendeleaje baada ya kuugua siku 1 iliyo pita. TMZ leo mapema warikaririwa wakisema DJ Khaled alikuwa akimwendesha na gari Rick Ross wakati wanatoka katika maonyesho yake huko Memphis na kwenda nyumbani kwake Atlanta ili kuepuka tena ajari iliyo tokea na kusababisha Rick Rock kukimbizwa hospitali sikuchache zilizopita.


DJ Khaled alisema kuwa Rozay amepumzika nyumbani na anaendelea vizuri kila siku zinavyozidi kusogea.Na akasistiza kuwa Rick Ross mda mwingi ana kunywa maji na siyo milkshake na ndio maana saizi afya yake inaendelea vizuri bira matatizo yoyote.

DJ Premier Denied Justin Bieber A Spot In 2011 BET Hip Hop Awards Cypher.

0 comments


DJ Premier kazungumzia kuhusu screening process ya 2011 BET Hip Hop Awards Cyphers, nakusema kwamba Justin Bieber alikuwa anafaa kwa cyphers. DJ Premier ametulia akimsubilia Beiber ambae anamuhitaji Ludacris kuandika mistari.

Pac Div – Shadowboxin Freestyle

0 comments

“The DiV”inatarajiwa kutoka November 8th ikifatiwa na “Sealed For Freshness 2″.

Method Man In The Studio Recording New Album & New Mixtape

0 comments

Method Man akiwa studio kwenye 3783 Media Group, kurekodi album yake ya mwisho inayo kwenda kwa jina la “Crystal Mef” pamoja na mixtape mpya inayokwenda kwa jina la “Cliff Notes”.

Statik Selektah Ft Mac Miller & Josh Xantus – Groupie Love

0 comments


Statik kadondosha nyimbo yake ya mwisho ‘Groupie Love’ inayopatikana iTunes akiwashilikisha Mac Miller na Josh Xantus.Hebu icheki mtu wangu kwenye iTune album yake iitwayo “Population Control”anayo tarajia kutua sokoni October 25th.

Talib Kweli Ft Big K.R.I.T., Outasight & Mela Machinko – Beautiful.

0 comments


Kuonyesha ni jinsi gani anaguswa na wagonjwa wenye matatizo ya kansa katika jamii ya wamarekani mwanamuziki Talib Kweli kaachia kibao kipya kiitwacho Beautiful akiwashilikisha Big K.R.I.T., Outasight and Mela Machinko.wimbo huu kwa sasa unapatikana kwenye iTunes.producer wa wimbo ni M-Phazes.

Freeway – Turn It Up (Prod. by Bink!)

0 comments


Freeway & Bink! walikuwa bize studio kwa mda wakifanya Track mpya je unajua ni
ni Track gani play hapo juu upate kuisikiliza ni hipi hiyo.

Sunday, October 16, 2011

Def Jam 25th Anniversary Dinner Pics

0 comments
kama wanavyo onekana kwenye picha hawa in miongoni mwa waanzirishi au waasisi wa Def Jam Rec amboa ni [rick rubin,jay-z na russell simmons],Kevin Liles, Young Jeezy na wengineo wengi.

Usiku wa kuamkia ijumaa waasisi wa Def Jam Rec walikuwa wakiadhimisha miaka 25 tangu kuanzisha kwa Rec hiyo ambapo maadhimisho hayo yaliambatana na chakura cha pamoja katika hotel ya Hov’s The Spotted Pig mjini New york.

Estelle – Remember Me

0 comments



Leo j-tatu ya tar 17-2011 kuna utambulisho wa ngoma mpya kutoka kwa [Estelle na Don Cannon’s] iitwayo [Remember me] je wewe leo j-tatu unamkumbuka nani..? cheki na hii basi uweze kupata fleva za kutosha tu.

Drake & Nicki Minaj On Saturday Night Live

0 comments


Usiku wa kuamkia jumamosi mkali mahili wa hip hop rapa Drake alionekana akitumbuiza wimbo wake mpya uitwao ‘Made Me Proud’ katika onyesho la NSL akiwa na shost wake kipenzi wa mtima wake mwanadada nicki minaj.onyesho hilo ni kama unavyo liona hapo juu katika video.wimbo huo wa 'Made Me Proud'.sasa unaweza kuu pata kwa kubonyeza hapa
iTune

Future – Same Damn Time [Live in Milwaukee]

0 comments

Hapo ni Mtu Mzima Future akiwapagawisha mashabiki wake alipokuwa akifanya live shoo katika mji wa Milwaukeen nchini marekani play video mtu wangu ujionee ni kitu gani hasa kiliwapagawisha mashabiki wa Future wakati anaimba ngoma yake ya Same Damn Time.

New Track Lil Kim – Spend A Mil

0 comments



Ni Baada ya kimya cha mda mrefu lakini sasa kaamua kufunguka na kuachia ngoma mpya iitwayo Spend A Mill inaonekana kama aina flani hivi mwanadada Lil Kim anataka mchizi ambae ataweza kufunguka wallet yake na kumgharamikia katika masuala mazima ya misosi na mapenzi.hebu cheki na hiyo umsikie jinsi kim anavyo funguka humo ndani yaani ni mpango mzima.

2Pac Estate In Talks To Sell Sex Tape Song For A Million Bucks.

0 comments
Kama ilivyo kuwa imeripotiwa mwanzo na chombo cha habari kiitwacho TMZ kuhusu mvutano ulio kuwepo kuhusu kutolewa kwa Sex Tape mbayo ndani yupo marehemu 2pac.
Familiya ya marehemu ilikuwa imeahidi kumchukulia shelia yeyote yule ambaye atajiusisha na uuzaji wa Sex Tape bira idhini ya Familiya ya mwanamuziki huyo marehemu.

Lakini sasa kuna kampuni kubwa linalo jishughulisha na usambazaji wa vijwaji raini ambavyo havina kilevi ndani yake liitwalo NOHO limesema lipo tayari kufanya mazungumzo na familiya ya mwanamziki huyo na kuilipa kiasi kikubwa cha fedha kisicho pungua dola za kimalekani milion moja($ 1,000,000) ili iweze kupata haki ya kumiliki Sex Tape hiyo ambayo marehemu 2pac na kashiliki ndani yake.
TMZ sasa imeripoti kuwa wawakilishi wa 2pac wamefikia makubaliano na kampuni hilo ili waweze kushilikiana wote kwa pamoja katika kuuza Tape hiyo.
Tatizo lililopo mpaka sasa haijulikani nani hasa ni miliki wa Tape hiyo na ni wimbo gani wa 2pac uliopo katika Tape hiyo ambao unatumika kama back ground.Lakini tamko kutoka katika familiya ya 2pac linasema kwamba kama wanafamiliya hawata weza kujulishwa ni wimbo gani ulio Tumika basi hawapo tayari kutoa kibali cha uuzaji wa Tape hiyo na badara yake wapo tayari kuendelea kuuza nyimbo zilizo kuwa zimeachwa na marehemu 2pac ambazo zilikuwa bado hazijatoka.

Drake & Nicki Minaj Performs On SNL.

0 comments

Hapa ni Drake akiwashirikiana na girlfriend wake Nicki Minaj katika wimbo wa Make Me proud walipokuwa wakiperform katika onyesho la SNL.

Ace Hood, Kevin McCall, Tyga & Chris Brown.[Video]

0 comments

Kama kawa ni bonge la corabo ni Ace Hood, Kevin McCall, Tyga & Chris Brown katika BET Hip Hop Awards Cypher(Nyuma ya pazia).

Rihanna – We Found Love (Nyuma Ya Pazia) (Sehemu 1)[Video]

0 comments


Hii ni Nyuma ya pazia Tuna anzazia Video ya Rihanna’s iitwayo ‘We Found Love’Wimbo wa kwanza kutoka katika album yake ijayo ijulikanayo kwa jina la“Talk That Talk”.Kama wewe ni mshabiki wa Rihanna basi jiandae kupokea video hiyo mpya hivi karibuni inayo inayo simamiwa na director Melina .
Na hapa ni Mwanadada Rihanna alivyo kuwa akizungumzia video hiyo.
Sijawahi kufanya video kama hii hapo Mwanzo.Hii ni miongoni mwa video kali ambazo sijawahi kufanya.Video hii inahusiana na mapenzi na mapenzi ni kama madawa ya….Na hivyo ndivyo video itakavyo kuwa kwa ujumla.

Future – Tony Montana (Official Instrumental)

0 comments



Hii ni kwa wale wana harakati wa Mziki huu wa Hip Hop kama unaweza michano na unaweza kutambaa na biti hii haya sasa kazi kwako mi nakupa bule biti hii ya wimbo wa future wa Tony Montana kama wewe unaweza kucheza na biti cheza basi na hii.
 

Pages

Popular Posts

BBC Xclusives

| BongoXclusive © 2009. All Rights Reserved | Sponsored by: Website Templates | Premium Wordpress Themes | consumer products. Thanks to blogger template
Template Style by My Blogger Tricks .com | Back To Top |