Familiya ya marehemu ilikuwa imeahidi kumchukulia shelia yeyote yule ambaye atajiusisha na uuzaji wa Sex Tape bira idhini ya Familiya ya mwanamuziki huyo marehemu.
Lakini sasa kuna kampuni kubwa linalo jishughulisha na usambazaji wa vijwaji raini ambavyo havina kilevi ndani yake liitwalo NOHO limesema lipo tayari kufanya mazungumzo na familiya ya mwanamziki huyo na kuilipa kiasi kikubwa cha fedha kisicho pungua dola za kimalekani milion moja($ 1,000,000) ili iweze kupata haki ya kumiliki Sex Tape hiyo ambayo marehemu 2pac na kashiliki ndani yake.
TMZ sasa imeripoti kuwa wawakilishi wa 2pac wamefikia makubaliano na kampuni hilo ili waweze kushilikiana wote kwa pamoja katika kuuza Tape hiyo.
Tatizo lililopo mpaka sasa haijulikani nani hasa ni miliki wa Tape hiyo na ni wimbo gani wa 2pac uliopo katika Tape hiyo ambao unatumika kama back ground.Lakini tamko kutoka katika familiya ya 2pac linasema kwamba kama wanafamiliya hawata weza kujulishwa ni wimbo gani ulio Tumika basi hawapo tayari kutoa kibali cha uuzaji wa Tape hiyo na badara yake wapo tayari kuendelea kuuza nyimbo zilizo kuwa zimeachwa na marehemu 2pac ambazo zilikuwa bado hazijatoka.






0 comments:
Post a Comment