Russell Simmons na Global Grind warifika kwa DJ Khaled ili waweze kujua Rick Ross’ anaendeleaje baada ya kuugua siku 1 iliyo pita. TMZ leo mapema warikaririwa wakisema DJ Khaled alikuwa akimwendesha na gari Rick Ross wakati wanatoka katika maonyesho yake huko Memphis na kwenda nyumbani kwake Atlanta ili kuepuka tena ajari iliyo tokea na kusababisha Rick Rock kukimbizwa hospitali sikuchache zilizopita.
DJ Khaled alisema kuwa Rozay amepumzika nyumbani na anaendelea vizuri kila siku zinavyozidi kusogea.Na akasistiza kuwa Rick Ross mda mwingi ana kunywa maji na siyo milkshake na ndio maana saizi afya yake inaendelea vizuri bira matatizo yoyote.






0 comments:
Post a Comment