Saturday, October 29, 2011

Ibra na ujio mpya.


Mtu mzima Ibra da hustler toka Vatoloco Soldiers anakuja tena na ngoma mpya aloipa jina "Love to you",ngoma hii kamshirikisha Banx katika chorus,Mtu mzima ibra yupo katika final arrangements za kumaster album yake aloipa jina "paso wena" ambacho ni kilugha cha zulu kinachomaanisha "angalia"..safari yangu ya muziki bado changa sana kwahivyo mashabiki wangu wote wakae sambamba na mimi mana apa ni kazi tu,drop after drop,hit after hit, noizmekah.com ndo mahali pa kupata ngoma yangu mpya ambayo banx amedunga hook na pia latest project ya ma crew,the vatoloco soldiers,track ya "Situations" ambayo itakuwa katika album yetu ya ungalimi to queens".
Kindly Bookmark this Post using your favorite Bookmarking service:
Technorati Digg This Stumble Stumble Facebook Twitter
YOUR ADSENSE CODE GOES HERE

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Labels

 

Pages

Popular Posts

BBC Xclusives

| BongoXclusive © 2009. All Rights Reserved | Sponsored by: Website Templates | Premium Wordpress Themes | consumer products. Thanks to blogger template
Template Style by My Blogger Tricks .com | Back To Top |