Baada ya kutoka jela miezi Kadhaa iliya pita baada ya kutumikia kifungo chake, kwa mara nyingine Mkali wa miondoko ya hip hop rapa T.I ameachia remix ya wimbo wa 'Niggas In Paris' ulio fanywa na Jay-Z kwa kushirikiana na Kanye West.Pia jiandae kwa remixes nyingine nyingi zinazo tarajia kutoka hivi karibuni.






0 comments:
Post a Comment