Hii ni Nyuma ya pazia Tuna anzazia Video ya Rihanna’s iitwayo ‘We Found Love’Wimbo wa kwanza kutoka katika album yake ijayo ijulikanayo kwa jina la“Talk That Talk”.Kama wewe ni mshabiki wa Rihanna basi jiandae kupokea video hiyo mpya hivi karibuni inayo inayo simamiwa na director Melina .
Na hapa ni Mwanadada Rihanna alivyo kuwa akizungumzia video hiyo.
Sijawahi kufanya video kama hii hapo Mwanzo.Hii ni miongoni mwa video kali ambazo sijawahi kufanya.Video hii inahusiana na mapenzi na mapenzi ni kama madawa ya….Na hivyo ndivyo video itakavyo kuwa kwa ujumla.






0 comments:
Post a Comment