Monday, November 7, 2011

New Track By Jay Moe "FAMOUS"


Baada ya zaidi ya mwaka na nusu tangu JayMoe awe kimya bila wimbo wowote hewani...He's back!...na hii ndo ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ''Famous'' ambayo ameshirikiana na producer wake wa siku nyingi anaejulikana kwa jina maarufu kama MAJANI au P-FUNK,ambaye ndo pia ndiyo producer wa wimbo huo wa ''Famous'' ndani ya studio za BONGO RECORDS,itakuwa ni single ya 3 toka kwenye santuri yake ijayo itayokwenda kwa jina la MOCUMENTARY.

Kindly Bookmark this Post using your favorite Bookmarking service:
Technorati Digg This Stumble Stumble Facebook Twitter
YOUR ADSENSE CODE GOES HERE

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Labels

 

Pages

Popular Posts

BBC Xclusives

| BongoXclusive © 2009. All Rights Reserved | Sponsored by: Website Templates | Premium Wordpress Themes | consumer products. Thanks to blogger template
Template Style by My Blogger Tricks .com | Back To Top |