Saturday, November 12, 2011

ZIARA YA MBUNGE MO JIMBONI KWAKE SINGIDA MJINI.


Mbunge MO akizindua kituo cha vijana cha kanisa la FPCT eneo la Mwenge mjini Singida, anayeshuhudia na Askofu Mkuu wa kanisa hilo Paul Samwel .
Askofu mkuu wa kanisa la FPCT Paul Samwel akimkabidhi zawadi ya Mbuzi MO kama shukrani ya kutembelea kanisa hilo.
MO Akihutubia waumini wa Msikiti wa Rahman Kindai, katika halfa hiyo MO alichangia mifuko 500 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa Msikiti huo.(Picha zote na MO BLOG).
Mbunge wa jimbo la Singida Mjini Mh. Mohammed Dewji "MO" akisalimiana na waumini wa kanisa la FPCT wakati wa hafla ya uzinduzi wa kituo cha vijana wa Kanisa hilo.
Mh. Mohammed Dewji akijumuika na Vijana wa kanisa la FPCT kucheza kwaya.
Kwaya ya vijana ya kanisa la FPCT wakitumbuiza katika hafla fupi ya kumkaribisha Mbunge MO DEWJI ndani ya kanisa hilo.
Mbunge wa jimbo la Singida Mjini MO akiambatana na vionozi wa kanisa la FPCT kuelekea kwenye uzinduzi wa kituo cha vijana wa kanisa hilo.

Kindly Bookmark this Post using your favorite Bookmarking service:
Technorati Digg This Stumble Stumble Facebook Twitter
YOUR ADSENSE CODE GOES HERE

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive

Labels

 

Pages

Popular Posts

BBC Xclusives

| BongoXclusive © 2009. All Rights Reserved | Sponsored by: Website Templates | Premium Wordpress Themes | consumer products. Thanks to blogger template
Template Style by My Blogger Tricks .com | Back To Top |