Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya,ajulikanae kwa jina la kisanii Mr Blue akitumbuiza usiku huu kwenye tamasha la Inter-College Festival 2011 linalofanyika kwenye viwanja vya Royal Village,mjini Dodoma ambao tamasha hilo liliwahusisha wanafunzi wa vyuo mbalimbali,ambao walijitokeza kwa wingi kuwashuhudia wasanii mbalimbali walioendelea kutumbuiza kwenye tamasha hilo.
Pichani ni umati wa washabiki wa tamasha hilo waliojitokeza kwa wingi ndani ya viwanja vya Royal Village,jijini Dodoma.






0 comments:
Post a Comment